Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 31:7

Kumbukumbu 31:7 NEN

Kisha Mose akamwita Yoshua na akamwambia mbele ya Israeli wote, “Uwe imara na moyo wa ushujaa, kwa kuwa ni lazima uende na watu hawa katika nchi ile BWANA aliyowaapia baba zao kuwapa, nawe ni lazima uwagawie kama urithi wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 31:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha