Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 31:6

Kumbukumbu 31:6 NEN

Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa BWANA Mungu wenu anakwenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 31:6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha