1
Luka 13:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza.
Сравнить
Изучить Luka 13:24
2
Luka 13:11-12
Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na nane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima. Isa alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”
Изучить Luka 13:11-12
3
Luka 13:13
Isa alipomwekea mikono yake, akasimama wima mara moja, akaanza kumtukuza Mungu.
Изучить Luka 13:13
4
Luka 13:30
Tazama, kuna walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, nao wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.”
Изучить Luka 13:30
5
Luka 13:25
Mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkibisha mlango na kusema, ‘Bwana! Tufungulie mlango!’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako.’
Изучить Luka 13:25
6
Luka 13:5
Nawaambia, la hasha! Ninyi nanyi msipotubu, wote mtaangamia vivyo hivyo.”
Изучить Luka 13:5
7
Luka 13:27
“Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’
Изучить Luka 13:27
8
Luka 13:18-19
Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? Umefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti, nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.”
Изучить Luka 13:18-19
Домой
Библия
Планы
Видео