Siku Saba Za Kufanya Sala Wakati Upitiapo MajonziSample
![Siku Saba Za Kufanya Sala Wakati Upitiapo Majonzi](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35333%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Vaa Kofia Ya Wokovu
Hebu tuombe,
Baba, ninavaa kofia yangu ya wokovu ninapokabiliana na hasara hii mbaya. Niko salama ndani yako, ingawa nimevurugika kwa sababu ya hasara yangu. Ninapata furaha kutoka kwa wokovu wangu, ambao huleta utulivu kwa maeneo magumu ya maisha. Ninapata kufarijika kujua kwamba ingawa nimepoteza kitu kilicho cha thamani kwangu, sitakupoteza kamwe, Bwana. Sitawahi poteza njia ya kufika kwangu kwako kamwe. Hutaniacha kamwe au kunifanya nijisikie kwamba msimamo wangu na wewe haustahiki. Wewe ni wa milele na kamwe hauwezi kufa. Wewe ndiye pekee unayependa kikamilifu na hauachi kamwe. Katikati ya hasara hii, usalama huo unaniletea faraja kubwa. Katika jina la Kristo, amina.
Scripture
About this Plan
![Siku Saba Za Kufanya Sala Wakati Upitiapo Majonzi](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35333%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Siku 7 za Sala zimeundwa kwa minajili ya kuimarisha roho yako na kuhimiza moyo wako wakati upitiapo majonzi. Kila siku inajumuisha sala utakayofanya wewe au kutumia kama msingi wa maombi yako kuhusu mada ya siku hiyo ili kupata nafuu kutokana na majonzi. Katika siku hizi 7 utapata tumaini kutoka kwenye Neno la Mungu na kutiwa moyo kwa kujua kwamba upendo wake na faraja ni zako katika hali yoyote.
More
Related Plans
![Lasting Ever](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54463%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Lasting Ever
![Acts 8:26-40 | Helping People See](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54810%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Acts 8:26-40 | Helping People See
![The Seven 'I Am' Statements](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54567%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Seven 'I Am' Statements
![Biblical Success = Running Our Race - Guide Unto Our Path](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54667%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Biblical Success = Running Our Race - Guide Unto Our Path
![Returning to God: 21 Days of Prayer and Fasting](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54746%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Returning to God: 21 Days of Prayer and Fasting
![The Joy of Laughter: A 3-Day Marriage Plan](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54860%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Joy of Laughter: A 3-Day Marriage Plan
![Acts 9:1-19 | God Can Save Anyone. Anyone!](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54979%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Acts 9:1-19 | God Can Save Anyone. Anyone!
![21 Days of Breakthrough](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54575%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
21 Days of Breakthrough
![7 Days of Powerful Prayer and Fasting](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54700%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
7 Days of Powerful Prayer and Fasting
![The Lion's Army](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55081%2F320x180.jpg&w=640&q=75)