Siku Saba Za Kufanya Sala Wakati Upitiapo MajonziSample
![Siku Saba Za Kufanya Sala Wakati Upitiapo Majonzi](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35333%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Vaa dirii ya haki
Hebu tuombe,
Bwana Mpendwa, ninavaa dirii ya haki kifuani kama ngao dhidi ya maumivu yasiyofaa ambayo adui anakusudia kwa moyo wangu. Anajua kuwa anaweza kutumia maumivu ya kupoteza kama njia ya kunigandamiza kwa kunifanyia madhara ya muda mrefu. Asante, Baba, kwa kunisaidia kusimama imara dhidi ya mpango wake. Anataka daima niendelee kuumia, lakini ungenitaka nipone kutokana na maumivu yangu. Yesu alijua na kupata hasara, ikijumuishwa hasara ya kupoteza marafiki zake wa karibu ambao walimsaliti. Kwa hivyo unajua maumivu ninayohisi. Funika hasira yangu, maumivu na uchungu wangu kwa wema wako, rehema na neema. Nahitaji neema yako sasa hivi ili iwe hewa ninayovuta na chakula ninachokula. Ninakuhitaji unijaze na roho wako unaponiponya kutokana na maumivu haya. Nahitaji haki yako kwa sababu siwezi kujitegemea mimi peke yangu. Katika jina la Kristo, amina.
Scripture
About this Plan
![Siku Saba Za Kufanya Sala Wakati Upitiapo Majonzi](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35333%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Siku 7 za Sala zimeundwa kwa minajili ya kuimarisha roho yako na kuhimiza moyo wako wakati upitiapo majonzi. Kila siku inajumuisha sala utakayofanya wewe au kutumia kama msingi wa maombi yako kuhusu mada ya siku hiyo ili kupata nafuu kutokana na majonzi. Katika siku hizi 7 utapata tumaini kutoka kwenye Neno la Mungu na kutiwa moyo kwa kujua kwamba upendo wake na faraja ni zako katika hali yoyote.
More
Related Plans
![Lasting Ever](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54463%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Lasting Ever
![Acts 8:26-40 | Helping People See](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54810%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Acts 8:26-40 | Helping People See
![The Seven 'I Am' Statements](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54567%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Seven 'I Am' Statements
![Biblical Success = Running Our Race - Guide Unto Our Path](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54667%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Biblical Success = Running Our Race - Guide Unto Our Path
![Returning to God: 21 Days of Prayer and Fasting](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54746%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Returning to God: 21 Days of Prayer and Fasting
![The Joy of Laughter: A 3-Day Marriage Plan](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54860%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Joy of Laughter: A 3-Day Marriage Plan
![Acts 9:1-19 | God Can Save Anyone. Anyone!](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54979%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Acts 9:1-19 | God Can Save Anyone. Anyone!
![21 Days of Breakthrough](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54575%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
21 Days of Breakthrough
![7 Days of Powerful Prayer and Fasting](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54700%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
7 Days of Powerful Prayer and Fasting
![The Lion's Army](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55081%2F320x180.jpg&w=640&q=75)