YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021Sample

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021

DAY 23 OF 31

Huyu mtawala Gogu atakuwa na jeshi kubwa na la kutisha sana. Lakini Ezekieli anaeleza kuwa Mungu ataliangamiza kabisa jeshi hilo. Litafika mpaka milima ya Israeli, basi. Habari za silaha kuwa kuni na wanajeshi wa adui kushindwa kuzikana zituambie kwamba ndiye Mungu aliyetenda. Hivyo mataifa yote wataona jinsi nguvu, enzi na mamlaka yake yalivyo makuu, akipiga vita katika hasira yake takatifu dhidi ya uovu wowote (m.7,  Jina langu takatifu nitalifanya kuwa limejulika kati ya watu wangu Israeli; wala sitaliacha jina langu takatifu kutiwa unajisi tena; nao mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, na Aliye Mtakatifu katika Israeli). Hakika hakuna wa kumshinda Aliye Mtakatifu katika Israeli. Tumtegemee.

Day 22Day 24

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu k...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy