YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 12/2020Sample

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

DAY 12 OF 31

Wakristo ni mfano wa wanawali kumi wanaomngojea Bwana Arusi. Na Bwana Arusi ni Yesu Kristo. Sote tunangojea kurudi kwake ili tuingie katika karamu ya milele. Mfano unaotajwa wa mafuta ni Roho Mtakatifu anayetuwezesha kumngojea Bwana kwa uaminifu. Lakini Roho Mtakatifu hutuwezesha kwa kiwango kile tunachomruhusu atusaidie. Tusipomsikiliza na kumtii, atatuacha na tutaanguka kwenye ulegevu wa kiroho hata Bwana akirudi atatukuta usingizini. Omba kuwezeshwa na Roho Mtakatifu siku zote. 

Day 11Day 13

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

Soma Biblia Kila Siku 12/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wathesalonike, Mathayo na Mwanzo. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More