1
Mathayo 9:37-38
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu akawaambia wafuasi wake, “Kuna mavuno mengi ya watu ya kuleta. Lakini kuna wafanyakazi wachache wa kusaidia kuwavuna. Mungu anamiliki mavuno. Mwombeni atume wafanyakazi wengi zaidi wa kusaidia kukusanya mavuno yake.”
Mampitaha
Mikaroka Mathayo 9:37-38
2
Mathayo 9:13
Nendeni mkajifunze andiko hili linamaanisha nini: ‘Sihitaji dhabihu ya mnyama; Ninataka ninyi mwoneshe wema kwa watu.’ Sikuja kuwaalika wema kujiunga nami, bali wenye dhambi.”
Mikaroka Mathayo 9:13
3
Mathayo 9:36
Yesu aliona watu wengi na kuwahurumia kwa sababu walikuwa wanakandamizwa na hawakuwa na tumaini; kama kondoo bila mchungaji wa kuwaongoza.
Mikaroka Mathayo 9:36
4
Mathayo 9:12
Yesu alipowasikia wakisema hili, akawaambia, “Wagonjwa ndiyo wanaohitaji daktari si wenye afya.
Mikaroka Mathayo 9:12
5
Mathayo 9:35
Yesu alisafiri akipita katika miji yote na vijiji. Alifundisha katika masinagogi yao na kuwaeleza watu Habari Njema kuhusu ufalme wa Mungu. Aliponya kila aina ya magonjwa na udhaifu.
Mikaroka Mathayo 9:35
Fidirana
Baiboly
Planina
Horonan-tsary