1
Mwa 13:15
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Vergelyk
Verken Mwa 13:15
2
Mwa 13:14
BWANA akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi
Verken Mwa 13:14
3
Mwa 13:16
Na uzao wako nitaufanya uwe kama mavumbi ya nchi; hata mtu akiweza kuyahesabu mavumbi ya nchi, uzao wako nao utahesabika.
Verken Mwa 13:16
4
Mwa 13:8
Abramu akamwambia Lutu, Basi, usiwepo ugomvi, nakusihi, kati ya mimi na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako; maana sisi tu ndugu.
Verken Mwa 13:8
5
Mwa 13:18
Basi Abramu akajongeza hema yake, akaja akakaa kwenye mialoni ya Mamre, nayo ni miti iliyoko Hebroni, akamjengea BWANA madhabahu huko.
Verken Mwa 13:18
6
Mwa 13:10
Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari.
Verken Mwa 13:10
Tuisblad
Bybel
Leesplanne
Video's