1
Mwa 12:2-3
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Vergelyk
Verken Mwa 12:2-3
2
Mwa 12:1
BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha
Verken Mwa 12:1
3
Mwa 12:4
Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Verken Mwa 12:4
4
Mwa 12:7
BWANA akamtokea Abramu, akasema, Uzao wako nitawapa nchi hii. Naye huko akamjengea madhabahu BWANA aliyemtokea.
Verken Mwa 12:7
Tuisblad
Bybel
Leesplanne
Video's