1
Mk 14:36
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
對照
Mk 14:36 探索
2
Mk 14:38
Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
Mk 14:38 探索
3
Mk 14:9
Amin, nawaambia, Kila ihubiriwapo Injili katika ulimwengu wote, na hili alilotenda huyu litatajwa kwa kumbukumbu lake.
Mk 14:9 探索
4
Mk 14:34
Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.
Mk 14:34 探索
5
Mk 14:22
Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ndio mwili wangu.
Mk 14:22 探索
6
Mk 14:23-24
Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. Akawaambia, Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Mk 14:23-24 探索
7
Mk 14:27
Yesu akawaambia, Mtakunguwazwa ninyi nyote kwa ajili yangu usiku huu; kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo watatawanyika.
Mk 14:27 探索
8
Mk 14:42
Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Mk 14:42 探索
9
Mk 14:30
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, Leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu.
Mk 14:30 探索
主頁
聖經
計劃
影片