Muhtasari: Matendo 1-12
Kutoka BibleProject
MAANDIKO YANAYOHUSIANA
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Matendo 1-12, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Matendo, Yesu anamtuma Roho Mtakatifu kuwatia nguvu wanafunzi wake katika harakati zao za kueneza habari njema ya ufalme wake kwa mataifa ya ulimwengu. https://bibleproject.com/Swahili/