Mpango wa kupigana Vita vya KirohoMfano
SIKU YA 5: Njia Saba za Kumfanya Shetani Akimbie
Mungu ameahidi kwamba atawafanya maadui zetu wanaoinuka kinyume nasi kushindwa mbele zetu. Lakini tunaweza kusimama kwenye njia zetu za baraka na kumwacha adui akatushinda badala ya kutawanyika katika njia saba. Tukiwa na hilo akilini mwetu, hapa kuna mbinu saba kumfanya shetani kutawanyika kwa njia saba.
1. Kwa bidii utii sauti ya Bwana Mungu wako
2. Tubu kabla hujaanza vita
3. Jua kwamba Mungu yuko upande wako
4. Pigana kutoka kwenye nafasi ya ushindi
5. Sifu wakati wote
6. Vaa silaha za kivita
7. Omba kila mara na kuwa macho
Kuvunja mzingo wa kutisha siku zote ni jambo la kufanya uchaguzi sahihi, lakini inapokuwa ni mzingo wa kishetani unahitaji kutambua mawazo na mfumo mbaya uliokuwa unaruhu roho mbaya kuharibu maisha yako.
Nenda mbele, askari wa kiroho, na sifa moyoni mwako na maombi kinywani mwako, umevaa kivita. Vita ni ya Bwana, na shetani atatawanyika njia saba. Hana uchaguzi unapojikabidhi kwa Mungu na kumpinga. Hakuna pepo kuzimu ana nguvu kuliko mapenzi yanayoambatana na neno la Mungu. Neema ya Mungu hujaza nafsi inayotafuta ufalme wa Mungu kwanza na haki yake.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kwa haya mafundisho ya nguvu utaelewa kwa kina kuhusu jinsi ya kutengeneza njia ya kumpita adui na kuzuia mpango wake wa kuharibu maisha yako
More