Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tusome Biblia Pamoja (Machi)Mfano

siku 30

Kuhusu Mpango huu

Let's Read the Bible Together (March)

Sehemu ya 3 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kotekote. Sehemu ya 3 inajumuisha vitabu vya Hesabu, Methali, Warumi na Waebrania.

More

We would like thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church