Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 21 YA 30

Wazazi, waalimu, wanasiasa, watumishi wa serikali na sekta binafsi na zaidi sana Wakristo ni viongozi. Mungu amewaita kuchunga, kulisha na kuongoza watu kwake. Kwa kuwa tu viongozi, tuwe waaminifu, waadilifu, na wawajibikao ipasavyo.Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu(1 Pet 3:15). Tuwe na maono juu ya nyumba, familia na taifa. Mali zinapotea haraka tusipozitunza vizuri. Tuwe mawakili wanaowajibika. Tuifuate tabia ya mkulima awajibikavyo katika shamba na mifugo yake. Waongozwao wakitunzwa na kupendwa huzaa matunda mema.

siku 20siku 22

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha