Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 20 YA 30

Kuhusiana na watu wengine kunahitaji hekima ya pekee. Uvumilivu na upendo ni silaha za pekee katika kudumisha uhusiano. Uhusiano wa kweli huiga na kujifunza mwenendo mwema wa unayehusiana naye. Husiana na watu wakupatiao changamoto chanya. Ni wale wakuambiao ukweli, hasa ule usiopenda kuusikia. Hivyo jenga uhusiano wa kweli na wale wenye lengo jema la kukutengeneza. Na wewe uwe mtu wa namna iyohiyo ukiwatunza wale ambao unahusiana nao.Chuma hunoa chuma; ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; naye amhudhumiaye bwana wake ataheshimiwa(m.17-18).

siku 19siku 21

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha