Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

SIKU 28 YA 31

Mungu anaendeleza simulizi juu ya maumbile ya kushangaza ya mfalme wa wanyama mwitu wote wenye kiburi (m.34, Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi). Huyu mnyama hana mchango katika maumbile na nguvu zake za ajabu. Wala hawezi kujivuna kwamba amejivika nguvu zake. Yote yaliyompamba ni uwezo na upendeleo wa Mungu. Neno hili latuonyesha kwa mshangao, jinsi Mungu anavyodhihirisha maarifa na uhodari wake. Kama anamfanya mnyama hivyo, anaweza kutupa nguvu kumshinda shetani na hata kutufanikisha katika yote ya haki tuyaombayo kwake.

siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Marko na Ayubu. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz