Silaha ya MunguMfano
Askari wa kirumi " amefunga kiunoni" kitu fulani imara kuliko mkanda. ( wa kiume bila shaka.) Wana zuoni wengi wanakubaliana kwamba zaidi ya kipande chochote cha nguo ya askari au zana, mshipi huu--ukiwa na urembo wake-- unamtofautisha askari na raia. Haikuwa kitu cha kupenda, zana ya ziada, kama zile wewe na mimi tunaongeza kwenye mavazi yetu. Ilikuwa ni kitu cha lazima, msingi wa mavazi. Fikiria vifaa ambavyo viko kwenye nembo za kampuni za UPS® na FedEx® Wafanyakazi huvaa viunoni wakiwa mamebeba vitu vizito.
Vyuma, ngozi walizokuwa wanavaa askari wa Kirumu vilitengenezwa kuweza kuzunguka kiwiliwili na kusaidia wakati akifanya vitendo vya haraka vya kivita.
Kweli ni msaada wako. Unatoa msaada muhimu unaouhitaji unapokuwa katikatika ya vita ya kiroho.
Kumbuka, silaha kuu ya adui ni udanganyifu. Anaonesha ukweli na kutamanisha na rangi za kuvutia, akitutongoza mbali na kanuni za ukweli halisi. Anaeneza uongo, na kusababisha vitu vya muda na visivyokuwa na maana kuonekana kana kwamba ni vya thamani na kupendelewa.
Vifungashio vyake ni vya kijanja mpaka tutakapokuwa tunajua kilicho kweli--nikimaanisha kujua kweli, kujua kwa undani--tunaingia kwenye mitegonyake.
Kweli--ambayo tunaweza kuianisha kwa msingi kama mawazo ya Mungu katika kila jambo--ni kiwango chetu. Kweli ni Mungu ni nani na anasema yeye ni nani, ambavyo vimejumuishwa ndani ya utu wa Yesu Kristo. Ukweli wa Mungu. Ukweli wa Kibiblia. Pasipo kuukubali kabisa na kuuthibitisha na ukweli huu-- na kweli halisi--unaachwa dhaifu na kuachwa kukubali vitu ambavyo vinaonekana au kusikika kama sawa lakini kiukweli siyo sawa. Lakini kukiwa na kiwango cha ukweli, unaweza kurekebisha kitu chochote maishani mwako --matamanio, uchaguzi, unavyojisikia; akili yako, mapenzi yako, hisia--mpaka vyote vinakuwa kwenye mstari. Unapokuwa na misingi imara, huwezi kupotezwa kirahisi na uongo wa adui. Jifunge kweli, na uwe macho kuanzia "mwanzo".
Mtihani halisi utakuja wakati mawazo na filosofia za tamaduni zetu zinaelekea upande tofauti, na bado tukaamua kusimama imara katika kiwango kisichobadilika cha Mungu. Wakati umefika kwetu kuwa wanawake waliojivika kweli

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kila siku, vita isiyoonekana inapiganwa kukuzunguka--haionekani, haisikiki, lakini bado unaihisi katika maisha yako yote. Adui wa kishetani aliyejitoa kuleta uharibifu kwa kila kitu muhimu kwako: moyo wako, akili yako, ndoa yako, watoto wako, ndoto zako, hatima yako. Lakini mpango wake wa vita unategemea kukustukiza wakati huna silaha za vita. Kama umechoka kusukumwa na kusitukizwa, somo hili ni kwa ajili yako.
More
Tungependa kuwashukuru Priscilla Shirer na LifeWay Christian Resources kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: www.lifeway.com