Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mpango Bora wa KusomaMfano

The Better Reading Plan

SIKU 25 YA 28

Katika na neno la leo kuishi maisha ya uadilifu sio uamuzi rahisi, lakini ni uamuzi bora zaidi Katika 1 Petro 2:11-24, tunahimizwa kupigana vita vika dhidi ya tamaa ya dhambi na kuchagua kuishi maisha ya uadilifu
siku 24siku 26

Kuhusu Mpango huu

The Better Reading Plan

unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv