Mpango Bora wa KusomaMfano
Lazima tuachilie mazuri ili tunyakue yaliyo bora zaidi Kuishi maisha bora, Mithali 22:1 inatuambia jina jema linatamanika kuliko mali nyingi Ni bora kwetu kuishi maisha ya uadilifu Wiki hii utasoma ni nini neno la Mungu linasema kuhusu kuishi na jina jema na kuishi kwa uadilifu
Andiko
Kuhusu Mpango huu
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv