Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

60 kuanzaMfano

60 to Start

SIKU 53 YA 60

"Usitutie katika majaribu, ila utuokoe na yule mwovu."

Bwana, niongoze kutoka katika uhusiano wowote ambao utanizuia kukua karibu nawe. Nitatembea katika ukweli na uwazi.

Bwana navaa silaha za Mungu katika Waefeso 6:12-18. 1) mkanda wa kweli, 2) dirii ya haki kifuani, 3) miguu yenye utayari na injili ya amani 4) upanga wa roho, 5)chapeo ya wokovu, na omba katika roho wakati wote kwa sala na maombi ya kila aina.Bwana, naomba ulinzi unaopatikana katina Zaburi 91 Najua utanioka kutokana na kila mtego na pigo Nitapata malazi katika bima ya mbawa zako Bila kujali maovu yanayotokea katika mazingara yangu, najua maovu hayo kayataniadhiri. Utawaamuru malaika kunihusu wanilinde kutokana na madhara.

Kwa sababu unanipenda, na kwa sababu nalitambua jina lako, utaniokoa. Kwa sababu nakulilia, utanijibu, utaniokoa na kunipa heshimu. Na maisha marefu, utanitosheleza na kunionesha wokovu wako
siku 52siku 54

Kuhusu Mpango huu

60 to Start

Mpango wa siku sitini ulioundwa kukusaidia kuanza ( au kuanza upya) mpango wako na Yesu Utafanya mambo matatu kila siku: Kutana na Yesu katika injili, soma katika nyaraka vile wafuasi wake waliuishi ujumbe wake, na kua karibu Naye kupitia maombi

More

Tuli penda ku shukuru Trinity New Life Church kwa kutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, atafadhali nenda kwa: www.trinitynewlife.com