Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

60 kuanzaMfano

60 to Start

SIKU 56 YA 60

"Ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni''
Maisha yangu: dhihirisha nafasi yako kwangu leo!

Familia yangu: (waombee wanachama maalum hapa)

Viongozi wa kanisa langu (ombea watu maalum hapa) Nawaombea wawe na nguvu ndani ya madhumuni ya Mungu. Naomba ulinzi juu ya afya zao, fedha, ndoa, watoto na usafiri. Usiruhusu uzushi au uvumi usemwe kuwahusu, ulinzi tu, kuadilisha na baraka.

Watu naamini kumjua Yesu (ombea watu maalum)Namuombea rais na familia yake na viongozi wengine katika eneo langu. Walinde kutokana na uongo na udanganyifu, na waruhusu wakukaribia kila sikuNakuomba leo ( orodhesha mahitaji maalum)
siku 55siku 57

Kuhusu Mpango huu

60 to Start

Mpango wa siku sitini ulioundwa kukusaidia kuanza ( au kuanza upya) mpango wako na Yesu Utafanya mambo matatu kila siku: Kutana na Yesu katika injili, soma katika nyaraka vile wafuasi wake waliuishi ujumbe wake, na kua karibu Naye kupitia maombi

More

Tuli penda ku shukuru Trinity New Life Church kwa kutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, atafadhali nenda kwa: www.trinitynewlife.com