Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ushindi juu ya KifoMfano

Victory over Death

SIKU 7 YA 7

Omba: Mungu, ungana nami hapa, ninapokutafuta katika Neno lako. Anza ukiwa na lengo na kwa uwazi ili uweze kuona alicho nacho Mungu kwako.

Soma: kifungu cha Maandiko kilichochaguliwa polepole. Fahamu maneno au virai vinavyovutia kisha uvisome kwa mara ya pili.
Tafakari: kuhusu kinachoingia moyoni unaposoma. Waza kuhusu anachokuambia Mungu wakati huu maishani mwako.

Itikia: kifungu. Mwambie Mungu moja kwa moja kuhusu yaliyo moyoni na akilini mwako. Tafuta njia ya kuishi ulichofunua.
siku 6

Kuhusu Mpango huu

Victory over Death

Tunaambiwa kila mara, "Ni sehemu nyingine ya maisha tu," lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani.

More

We would like to thank American Bible Society for their generosity in providing this Uncover the Word reading plan. To learn more about Uncover the Word, please visit: www.AmericanBible.org