Ushindi juu ya KifoMfano
Omba: Mungu, ungana nami hapa, ninapokutafuta katika Neno lako. Anza ukiwa na lengo na kwa uwazi ili uweze kuona alicho nacho Mungu kwako.
Soma: polepole kifungu cha Maandiko kilichochaguliwa. Fahamu maneno au virai vinavyovutia kisha uvisome kwa mara ya pili.
Tafakari: kuhusu kinachoingia moyoni unaposoma. Waza kuhusu anachokuambia Mungu wakati huu maishani mwako.
Itikia: kifungu. Mwambie Mungu moja kwa moja kuhusu yaliyo moyoni na akilini mwako. Tafuta njia ya kuishi ulichofunua.
Kila moja wa wasomaji wetu ana kisa tofauti cha anavyoingiliana na Biblia. Tunakualika ubonyeze kiungo kifuato, ili tuweze kujua zaidi kukuhusu na wasomaji kama wewe. Kushiriki kwako kutasaidia American Bible Society iendelee kutoa vifaa vya hali ya juu vya kuelewa Biblia kwa watu kila mahali na itaarifu uundaji wa vifaa vipya vya kuelewa Biblia.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Tunaambiwa kila mara, "Ni sehemu nyingine ya maisha tu," lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani.
More