Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 24 YA 31

Zamani Mungu alisema nasi kwa njia ya manabii, na hakika walifanya kazi kubwa ya kueneza ujumbe wa Mungu. Kwa sasa Yesu amekuja kwetu, hivyo twaweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja. Yesu ameondoa kiambaza kilichotutenga na uwepo wa Mungu alipofanya utakaso wa dhambi: Akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu(m.3). Yesu amekuja kutuletea wokovu. Uwepo wake kwetu ni mng’ao wa wokovu kwetu katika maisha yetu. Hii ni neema ya ajabu. Mwamini Yesu, nawe utapata wokovu na kuwa mrithi wa uzima wa milele.

Andiko

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wathesalonike na Zaburi.

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz