Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuishi mabadiliko ya Mungu.Mfano

Experiencing God's Renewal

SIKU 5 YA 5

Mungu ana shabaa kuhusu kila moja wetu. Fulani kati yetu wanajua tayari shabaa hiyo na wengine bado wana piganisha kwa kuitafuta. Wakati tunapo jua shabaa ama madhumini yetu, Muhu huitumia kwa kutufanya upya kwa ufalme Wake, ila kwa yeye kufanya upya ufalme Wake; ni lazima mara kwa mara kufanya upya shabaa zetu na sisi wenyewe. Usi ruhusu kwamba shabaa ya Mungu maishani mwako kupoa ama kuhisi kama ya kuzeheka. Ruhusu Mungu kufanya upya shabaa yake kwa njia ambayo isikike kama ya mpya kulinganisha na siku ulio ijua mara ya kwanza. Umuombe aongezee na akuoneshe namna gani unaweza weka mchango kwakufanya upya ufalme Wake kama vile anavyo fanya upya maisha yako na shabaa yako.

Andiko

siku 4

Kuhusu Mpango huu

Experiencing God's Renewal

Kua kiumbe kipya ndani ya Kristo inamaanisha kwamba tukonafanyika upya mara kwa mara kumupitia. Mungu hufanya upya roho zetu, akili, na mwili. Anafanya upya pia hata madhumuni yetu. Kati ya siku hizi 5 za mpango wa usomaji, utapiga mbizi zaidi ndani ya Neno ambalo Mungu husema kuhusu kufanyika upya. Kila siku, utapata usomi wa Bibilia na ibada kwa ufupi ambayo itakusaidia kwa njia kadhaa ya kuishi pia kufanyika upya na Mungu.

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church