Kuishi mabadiliko ya Mungu.Mfano
Kukua kiumbe kipya ndani ya Kristo inamaanisha kwamba umefanyika kiumbe kipya. Mtu wa kale wa dhambi uliyekuwa ameenda kama matukeo ya wewe kuamu[ya katika Kristo. Kwa kweli, neno kufanyika upya ineweza julukana kama "kubadilika kwa kitu kipya ama tofauti, kitu kizuri zaidi." Hii nijumulisho ya kufanyika upya ndani ya Kristo ina maanisha kama tumefanyika kua kitu kipya. Watu fulani kati yetu, inaweza kua vigumu kuondoa mtu wa kale wa dhambi kwa wewe mwenyewe na kufanya upya maisha yetu. Inatweza kua vigumu kabisa, ila tukijua hivi: kama ukibaki imara ndani ya ushirika wako na Mungu, ataendelea kutenda ndani ya maisha yako kufanya upya na kuondoa mwenyewe alama za dhambi ambazo huendelea kukaa ndani yako.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kua kiumbe kipya ndani ya Kristo inamaanisha kwamba tukonafanyika upya mara kwa mara kumupitia. Mungu hufanya upya roho zetu, akili, na mwili. Anafanya upya pia hata madhumuni yetu. Kati ya siku hizi 5 za mpango wa usomaji, utapiga mbizi zaidi ndani ya Neno ambalo Mungu husema kuhusu kufanyika upya. Kila siku, utapata usomi wa Bibilia na ibada kwa ufupi ambayo itakusaidia kwa njia kadhaa ya kuishi pia kufanyika upya na Mungu.
More
We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church