InjiliMfano
Kuhusu Mpango huu
![The Gospels](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F16%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Mpango huu, umeundwa na kupewa na jamaa za YouVersion.com, itakusaidia kusoma injili zote ine katika siku thelathini. Kua na ufahamu halisi kuhusu maisha ya Yesu na huduma kwa muda mchache.
More
Mpango hu uliundwa na YouVersion. Kwa maelezo zaidi na rasilimali, atafadhali nekda kwa: www.youversion.com