Agano la Kale – Manabii wakubwa
60 Siku
Mpango huu rahisi itakuongoza ndani ya Agano la Kale manabii wa kubwa - Isaya, Yeremia, Maombolezo, Ezekeli, na Danieli. Pamoja na sura chache za usomaji kila siku, mpango huu niya maana sana kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi.
Mpango huu uliundwa na YouVersion. Kwa maelezo zaidi, atafadhali nenda kwa: www.youversion.com
Kuhusu Mchapishaji