Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA NANEMfano

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA NANE

SIKU 5 YA 7

  

YESU AMPONYA MTU ALIYEZALIWA KIPOFU

Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”

Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu.Yesu akasema, 

“Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”

Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa karibu naye wakamsikia na kumwambia, “Je, kweli sisi ni vipofu?”

Yesu akawajibu, 

“Kama mngekuwa vipofu kweli, msingekuwa na hatia ya dhambi, lakini kwa kuwa mnasema, ‘Tunaona,’ basi mna hatia.

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA NANE

Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana

More

Tunapenda kushukuru GNPI-Afrika kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://gnpi-africa.org