Wimbo Ulio Bora 3:2
Wimbo Ulio Bora 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliamka nikazunguka mjini, barabarani na hata vichochoroni, nikimtafuta yule wangu wa moyo. Nilimtafuta, lakini sikumpata.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 3Wimbo Ulio Bora 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, Katika njia zake na viwanjani, Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 3