Waroma 1:5-6
Waroma 1:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa njia yake, mimi nimepewa neema ya kuwa mtume, ili kwa ajili yake niwaongoze watu wa mataifa yote wapate kuamini na kutii. Nyinyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake; ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:5-6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa kupitia kwake na kwa ajili ya Jina lake, tumepokea neema na utume ili kuwaita watu miongoni mwa watu wa mataifa yote, waje kwenye utii utokanao na imani. Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 1