Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 1:5-6

Waroma 1:5-6 BHN

Kwa njia yake, mimi nimepewa neema ya kuwa mtume, ili kwa ajili yake niwaongoze watu wa mataifa yote wapate kuamini na kutii. Nyinyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.

Video ya Waroma 1:5-6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 1:5-6