Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:5-6

Warumi 1:5-6 NEN

Kwa kupitia kwake na kwa ajili ya Jina lake, tumepokea neema na utume ili kuwaita watu miongoni mwa watu wa mataifa yote, waje kwenye utii utokanao na imani. Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Yesu Kristo.

Video ya Warumi 1:5-6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:5-6