Zaburi 88:1-2
Zaburi 88:1-2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana. Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 88Zaburi 88:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia. Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu.
Shirikisha
Soma Zaburi 88