Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 88:1-2

Zab 88:1-2 SUV

Ee BWANA, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako. Maombi yangu yafike mbele zako, Uutegee ukelele wangu sikio lako.