Zaburi 51:10-12
Zaburi 51:10-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti. Usinitupe mbali nawe; usiniondolee roho yako takatifu. Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:10-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya na kuithibiti roho yangu. Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya upendo.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:10-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Shirikisha
Soma Zaburi 51