Zaburi 35:13
Zaburi 35:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wao walipokuwa wagonjwa, mimi nilivaa magunia kuonesha huzuni; nilijitesa kwa kujinyima chakula. Nilisali nikiwa nimeinamisha kichwa
Shirikisha
Soma Zaburi 35Zaburi 35:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nilijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea kifuani mwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 35