Zaburi 27:13-14
Zaburi 27:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Naamini nitauona wema wake Mwenyezi-Mungu katika makao ya walio hai. Mtegemee Mwenyezi-Mungu! Uwe na moyo, usikate tamaa! Naam, mtegemee Mwenyezi-Mungu!
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANA Katika nchi ya walio hai. Umtumainie BWANA, uwe imara, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANA Katika nchi ya walio hai. Umngoje BWANA, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 27