Zaburi 27:1-2
Zaburi 27:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu, ni nani nitakayemwogopa? Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu, sitamwogopa mtu yeyote. Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Zaburi 27