Zaburi 142:7
Zaburi 142:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nifungue kutoka kifungo changu, ili niweze kulisifu jina lako. Ndipo wenye haki watanizunguka, kwa sababu ya wema wako kwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 142Zaburi 142:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Unitoe humu kifungoni, ili nipate kukushukuru. Watu waadilifu watajiunga nami kwa sababu umenitendea mema mengi.
Shirikisha
Soma Zaburi 142