Zaburi 140:12
Zaburi 140:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua Mwenyezi-Mungu hutetea kisa cha wanaoteswa, na kuwapatia haki maskini.
Shirikisha
Soma Zaburi 140Zaburi 140:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 140