Zaburi 136:7-9
Zaburi 136:7-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye aliyefanya mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Jua litawale mchana; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mwezi na nyota zitawale usiku; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 136Zaburi 136:7-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Jua liutawale mchana; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Mwezi na nyota vitawale usiku; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 136