Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 136:7-9

Zaburi 136:7-9 NEN

Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele. Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele. Mwezi na nyota vitawale usiku, Fadhili zake zadumu milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 136:7-9