Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 136:7-9

Zab 136:7-9 SUV

Yeye aliyefanya mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Jua litawale mchana; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mwezi na nyota zitawale usiku; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

Soma Zab 136

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 136:7-9