Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 136:7-9

Zaburi 136:7-9 SRUV

Yeye aliyeumba mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Jua litawale mchana; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mwezi na nyota zitawale usiku; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

Soma Zaburi 136

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 136:7-9