Zaburi 105:42-43
Zaburi 105:42-43 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake. Basi akawatoa watu wake nchini, wateule wake wakaimba na kushangilia.
Shirikisha
Soma Zaburi 105Zaburi 105:42-43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana alilikumbuka neno lake takatifu, Na Abrahamu, mtumishi wake. Akawatoa watu wake kwa shangwe, Na wateule wake kwa nyimbo za furaha.
Shirikisha
Soma Zaburi 105