Zaburi 104:25-26
Zaburi 104:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbali kule iko bahari - kubwa na pana, ambamo kumejaa viumbe visivyohesabika, viumbe hai, vikubwa na vidogo. Ndimo zinamosafiri meli, na lile dude Lewiyathani uliloliumba licheze humo.
Shirikisha
Soma Zaburi 104Zaburi 104:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai wakubwa kwa wadogo. Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo Lewiathani uliyemwumba acheze humo.
Shirikisha
Soma Zaburi 104