Zab 104:25-26
Zab 104:25-26 SUV
Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai vidogo kwa vikubwa. Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo lewiathani uliyemwumba acheze humo.