Methali 28:25
Methali 28:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye BWANA ataneemeshwa.
Shirikisha
Soma Methali 28